
فرمت MP3 • بالاترین وضوح صدا
فرمت MP3 • مناسب اینترنت ضعیفتر
ترانه و شعر با صدای Wakimbizi
Hallo hallo Nataka kuongea na Mariko Tafadhali dada Kwangu hii ni wrong number Hallo hallo Nataka kuongea na Mariko Tafadhali dada Kwangu hii ni wrong number 1 (Mariko) Nakumbuka hapo zamani nikiwa mtoto mdogo Nilikuwa mjinga sana ni kama sina ubongo Washikaji kibao niliwapiga denti za simu Wengine nawajua wengine siwafahamu Lakini siku moja nilipokea yangu wazimu Nikidhani kuwa naongea na mtu timamu Akapiga simu (nataka kuongea na Mariko) Jibu akapokea kwangu hii ni wrong number Kawaida yangu kuwapiga denti za simu nikaanza Hata kama dada kwangu hii ni wrong number Hiyo sauti yako nyembamba imenibamba Ningelipenda mimi na wewe tuweze kujuana Ili tupange siku vile tutaja kutana Kisha akakubali tukutane Kenya Sinema Utanikuta hapo nje ka nimesimama Tafadhali dada Kwangu hii ni wrong number
Hallo hallo Nataka kuongea na Mariko Tafadhali dada Kwangu hii ni wrong number Hallo hallo Nataka kuongea na Mariko Tafadhali dada Kwangu hii ni wrong number 2 (Mr. Filter) Kenya Sinema nilipofika nikamwona mama flani Kumtazama usoni alikuwa amevaa miwani Akaja kuniuliza Kijana wamngojea nani Nami nikamjibu namngoja honey flani Kimavazi ni kama wewe lakini nadhani ni mwembamba Alikuwa anapiga simu na ikawa ni wrong number Basi wewe nani Jina langu Mr. Filter Ni mi umenipata Dhani si wewe dada Kama wanikataa basi wacha nipige simu Tuonee mimi na wewe nani ndio wazimu Hallo hallo, natakakuongea na Filter Ni kweli dada Naona si wrong number Lakini nimepokea simu kadhaa mara saba Si eti mimi najaribu kukukana Waeza ongea kwa boothi ya simu kumbe ni baba Denti za simu saa Mr. Filter ninakataa
Hallo hallo Nataka kuongea na Mariko Tafadhali dada Kwangu hii ni wrong number Hallo hallo Nataka kuongea na Mariko Tafadhali dada Kwangu hii ni wrong number 3 (Andre) Iliyotokea Kenya Sinema ilikuwa kweli adhabu Kama Dr. Mark kumpata asiye timamu Usiwe mfanyikazi unataka kuwa boss Mpate sugar mummy utapata hizo pose Andre kawaida yangu sipendi kusumbuliwa Kama DJ Stone simu alivyopigiwa Hallo hallo nataka kuongea na Andre Tafadhali dada Kwangu hii ni wrong number Si uliona Mr. Filter alipata bonge la mama Ambaye ye mwenyewe hangeweza kumbamba Ni lazima nikuone ndio uwe my one number Hapo mambo yetu kweli yatakwenda salama Iweje mimi nyota nipate dame mshamba Ambaye ye mwenyewe hajui kupiga pamba Lazima awe mzuri ndio niweze kumlamba Nami nionekane kidume pia natamba
Hallo hallo Nataka kuongea na Mariko Tafadhali dada Kwangu hii ni wrong number Hallo hallo Nataka kuongea na Mariko Tafadhali dada Kwangu hii ni wrong number
دیگر آثار شنیدنی از Wakimbizi