ترانه و شعر با صدای Harmonize & Mohamed Ramadan
(Kimambo) Zara boy pass me the weed, I'm about to say something real shit Nigga Bombocla-a-a-t It's Konde Boy, call me number one Bakhresa, Ayy
Nilishindwa hata salimia Nikiitwa kama sijasikia 'Cause I'm in love with you Ndugu, marafiki wakaninunia Wakasema eti najisikia 'Cause I'm in love with you It's just phone call away, I'll be on my way Niliacha kila kitu nikufuate wewe Even far away, to me was okay 'Cause I'm in love with you
Oh no, funny how you never see that And you never consider You put yourself to a highest bidder 'Cause I'm in love with you Anxiety, presha ilinipanda kichwani Eti unaniacha ndani, hivi uliniona nani, baby?
Nimesurrender, imeshindikana Imeshindikana (oh) Acha wajaribu wengine Imeshindikana Kulazimisha mapenzi nawe Imeshindikana Acha wajaribu wengine Imeshindikana (oh yeah)
Jay ay yeah ah yeah ah Ooh once again ah Lengo lako lilikuwa kuchezea mwili Kisha unipe mapenzi ya kikatili Japo nilivumilia, nilisubiri Japo nilikupea kutwa mara mbili Niwazi, nimekiri nimeshindwa kabisa kukubadili Acha nipumzishe kiwiliwili Haya mapenzi karaha, dear Moyo uliuendesha Ka mbio za pikipiki Ukanikataza nisiwe na jamaa nikavunja urafiki Usiku kuweweseka peke yangu nilipigwa baridi Tuseme umeamua tu kishujaa Kukitesa kichwa hiki
Oh no, funny how you never see that And you never consider You put yourself to a highest bidder 'Cause I'm in love with you Anxiety, presha ilinipanda kichwani Eti unaniacha ndani, hivi uliniona nani, baby?
Nimesurrender, imeshindikana Imeshindikana (oh) Acha wajaribu wengine Imeshindikana Kulazimisha mapenzi nawe Imeshindikana Acha wajaribu wengine Imeshindikana (oh yeah)
The Mix Killer Yaw-yaw
آثار دیگر از Harmonize & Mohamed Ramadan